Mshambuliaji wa Misri, Mohamed Salah akimtoka beki wa Urusi anayejaribu kumkwatua wakati wa mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa St Petersburg mjini Moscow. Urusi imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Ahmed Fathy aliyejifunga dakika ya 47, Denis Cheryshev dakika ya 59 na Artem Dzyuba dakika ya 62 wakati la Misri limefungwa na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 73. Huo unakuwa mchezo wa pili Misri inapoteza baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay kwenye mchezo wa kwanza na sasa wanahitaji miujiza ili kwenda hatua ya mtoano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
A cultural revolution? Trump’s America feels oddly familiar to those
watching from China
-
Demands of absolute loyalty and attacks on institutions have raise memories
of Mao-style chaos from US watchers in China
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment