Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi leo kwenye mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa Samara Arena. Mabao mengine ya Uruguay yamefungwa na Denis Cheryshev dakika ya 23 na Edinson Cavani dakika ya 90 na kwa matokeo hayo inamaliza kileleni kwa Kundi A ikifuatiwa na Urusi na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment