Iago Aspas akiifungia bao la kusawazisha Hispania dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na Morocco kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia Uwanja wa Kaliningrad, Urusi. Bao lingine la Hispania limefungwa na Isco dakika ya 19, wakati mabao ya Morocco yamefungwa na Khalid Boutaib dakika ya 14 na Youssef En-Nesyri dakika ya 81. Hispania imemaliza kileleni mwa Kundi B kwa pointi zake tano sawa na Ureno na zote zinakwenda 16 Bora PICHA ZAIDIGONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment