Mchezaji mpya wa Liverpool, Naby Keita akikabidhiwa jezi namba nane (8) na gwiji wa klabu, Steven Gerrard ambaye alikuwa anavaa jezi hiyo kabla ya kuhamia LA Galaxy ya Marekani Mei 2015. Keita anatarajiwa kutambulishwa rasmi wiki ijayobaada ya makubaliano ya awali ya kusajiliwa kutoka RB Leipzig PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Starbucks must start delivering big-time
-
The bar has been set high for Starbucks, very high.
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment