Mshambuliaji wa Stoke City, Xherdan Shaqiri akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Uswisi dakika ya 89 ikiilaza Serbia 2-1 katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Uwanja wa Kaliningrad nchini Urusi. Aleksandar Mitrovic alianza kuifungia Serbia dakika ya tano kabla ya Granit Xhaka kuisawazishia Uswisi dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment