Beki wa Malmo FF ya Sweden, Lasse Nielsen akimdhibiti mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta katika mchezo wa Kundi L Europa League jana Uwanja wa Luminus Arena. Genk ilishinda 2-0.
Beki wa Malmo FF ya Sweden, Lasse Nielsen akipata shida kumdhibiti Mbwana Samatta  
Mbwana Samatta akimfukuzia beki wa Malmo FF, Rasmus Bengtsson jana 
Hapa Mbwana Samatta anashangilia baada ya kuifungia bao la pili Genk 
Hapa akipongezana na mfungaji wa bao la kwanza la Genk, Leandro Trossard (kushoto) 
Hiki ni kikosi kilichoanza cha KRC Genk jana








.png)
0 comments:
Post a Comment