Mshambuliaji Pierre-Emerick akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 32 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Vorskla Poltava kwenye mchezo wa Kundi E Europa League Uwanja wa Emirates mjini London. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Danny Welbeck dakika ya 48 na Mesut Özil dakika ya 74, wakati ya Vorskla yamefungwa na Volodymyr Chesnakov dakika ya 76 na Vyacheslav Sharpar dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump open to shifting US troops from Germany to Poland
-
Will US troops withdrawn from Germany be moved to Poland? When asked, US
President Donald Trump said Warsaw favours the idea, and it is
feasible.View on eu...
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment