Kipa wa Valencia, Neto akichupia mpira kudaka mbele ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku wakati wa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 0-0 usiku wa Jumanne Uwanja wa Old Trafford. Huo ni mchezo wa nne mfululizo Man United inacheza bila kushinda, baada za sare ya 1-1 na Wolverhampton, 2-2 Derby County kisha kutolewa kwa penalti kwenye Kombe la Ligi na kufungwa 3-1 na West Ham United, jambo ambalo linaweza kumuweka pabaya kocha Mreno, Jose Mourinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Flooding: Lagos govt issues warning to residents in Lekki, Ikorodu
-
A fresh warning has been issued by the Lagos government to residents in
parts of Lekki, Ikorodu, and Ajegunle following the recent heavy rainfall
in the ...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment