Beki wa CSKA Moscow, Ilzat Akhmetov akiutelezea mpira miguuni mwa kiungo wa Los Blancos, Marco Asensio pembezoni mwa Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi usiku wa jana wakati wa mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya. CSKA Moscow ilishinda 1-0, bao pekee la Nikola Vlasic anayecheza kwa mkopo kutoka Everton dakika ya pili tu hivyo Real Madrid kufikisha mechi tatu za kucheza bila kufunga bao kwa mara ya kwanza tangu Januari mwaka 2007 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🗞️ Front pages: the day Barça can sink Madrid
-
This Sunday’s front pages are all speaking the same language, all focused
on the same thing. El Clásico is devouring everything because today Barça
can cli...
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment