Edin Dzeko (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia AS Roma mabao matatu dakika za tano, 40 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Viktoria Plzen usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Italia. Mabao mengine ya Roma yalifungwa na Cengiz Under dakika ya 64 na Justin Kluivert dakika ya 73, kinda wa miaka 19 aliyefungua akaunti ya mabao kwenye michuano hiyo jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ireland 'still hungry to get better' - Bemand
-
A lot has changed in the past two years for Scott Bemand and his youthful
Ireland squad.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment