Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Uholanzi dakika ya 32 na 41 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Belarus usiku wa jana Uwanja wa Dynama mjini Minsk bao la wenyeji likifungwa na Stanislau Dragun dakika ya 53 katika mchezo huo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, October 14, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment