Wachezaji wa Liverpool wakipongeza kwa ushindi wa 15 mfululizo kwenye mechi 16, kufuatia kuwachapa wenyeji, AFC Bournemouth 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality, mabao ya Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 35, Naby Keita dakika ya 44 na Mohamed Salah dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: Newcastle United set for major scouting changes
-
Recruitment Reset at St James’ ParkNewcastle Utd are entering another phase
of strategic change behind the scenes, with Shola Ameobi stepping away from
his...
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment