Mshambuliaji Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 29 ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Manchester City leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza la Manchester United lilifungwa na Marcus Rashford kwa penalti dakika ya 23 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Bernardo Silva, wakati la Man City limefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Daizen Maeda scores one of the great Old Firm goals as Celtic close gap on
Hearts
-
Rangers took the lead but Celtic roared back to take the title race into
the final week of the season
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment