Klabu ya Yanga imeposti ujumbe wa kumkaribisha kocha Mbelgiji, Luc Aymael (kulia) aliyewahi kuzifundisha klabu za AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Missile ya Gabon, AFC Leopard ya Kenya, Rayon Sport ya Rwanda, JS Kairouan ya Tunisia, Al Nasr ya Dubai, Al Merreikh ya Sudan, Polokwane City, Free State Stars, Black Leopard za Afrika Kusini na Tala'ea El Gaish ya Misri kuashiria kwamba huyo ndiye kocha wake mpya.
Strictly Come Dancing's Week One highlights, from 'miraculous' Amber Davies
to Pete Wicks cameo
-
Here's the highlights from Strictly's first live show of 2025.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment