DEO KANDA AMEPONA NA YUKO 'FITI' KABISA KUICHEZEA SIMBA SC DHIDI YA MTIBWA SUGAR KESHO MOROGORO
Kiungo wa Simba SC, Deo Kanda raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa mazoezini na timu yake jana Morogoro kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo
Beki Yussuf Mlipili akiwa mazoezini Simba SC jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo
Kiungo Shiza Kichuya akiwa mazoezini Simba SC jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo
Beki Shomari Kapombe akiwa mazoezini Simba SC jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo
Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho
Item Reviewed: DEO KANDA AMEPONA NA YUKO 'FITI' KABISA KUICHEZEA SIMBA SC DHIDI YA MTIBWA SUGAR KESHO MOROGORO
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment