Kiungo wa Coastal Unon, Ayoub Semtawa (kushoto) akimtoka beki wa JKT Tanzania, Saad Akubabar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, JKT wakitangulia kwa bao la Adam Adam dakika ya 51 kabla ya Ayoub Lyanga kusawazishia Coastal kwa penalti dakika ya 61
Norrie into Metz final with another comeback win
-
Great Britain's Cameron Norrie fights back from a set down to win for the
third match in succession, beating Lorenzo Sonego to reach the Moselle Open
final.
46 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment