Nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Norwich City, mabao mengine yakifungwa na Granit Xhaka dakika ya 37 na Cedric Soares dakika ya 81 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Emirates. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 32 na kupanda kutoka nafasi ya 11 hadi ya saba sasa ikizidiwa pointi sita na Wolverhampton Wanderers PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tennis superstar Aryna Sabalenka leaves fans stunned after going topless in
surprise Instagram post after Wimbledon heartbreak
-
The 27-year-old is a three-time Grand Slam champion but suffered heartbreak
at Wimbledon as she was dealt a shock semi-final defeat at the hands of
Amanda ...
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment