Bruno Fernandes akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 29 na 50 kufuatia Mason Greenwood kufunga la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa The AMEX. Ushindi huo unaifanya Manchester United ifikishe pointi 52 baada ya kucheza mechi 32 na kurejea nafasi ya tano ikiizidi wastani wa mabao tu Wolverhampton Wanderers PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment