Alexis Sanchez akiifungia Inter Milan bao la pili kwa penalti dakika ya 20 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Brescia kwenye mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan, Mabao mengine ya Inter Milan yalifungwa na Ashley Young dakika ya tano, Danilo D'Ambrosio dakika ya 45, Roberto Gagliardini dakika ya 52, Christian Eriksen dakika ya 83 na Antonio Candreva dakika ya 88 na kwa ushindi huo, timu ya kocha Antonio Conte inafikisha pointi 64, ingawa inabaki nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi nne na Lazio, wakiwa nyuma ya Juventus inayoongoza kwa pointi zake 72 baada ya wote kucheza mechi 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dodgers clinch 13th straight postseason berth as Kershaw pitches final
regular-season home game
-
After Clayton Kershaw pitched the final regular-season home game of his
18-year career, the Los Angeles Dodgers clinched their 13th consecutive
postseason ...
3 minutes ago
0 comments:
Post a Comment