ERASTO NYON ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA BAISKELI SHABIKI WAKE KIJANA MDOGO MJINI SUMBAWANGA
BEKI wa klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Erasto Edward Nyoni baada ya kumkabidhi baiskeli shabiki wake kijana mdogo, Jumanne Ulimwengu mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana.
Erasto Nyoni alitoa ahadi hiyo jana wakati akimkabidhi zawadi ya jezikijana huyo ambaye ili awe anaitumia kwenda shule.
0 comments:
Post a Comment