MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA TFF, ABDULAZIZ MOHAMED ALIVYOONGOZA KIKAO JANA SUMBAWANGA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mohamed Abdulaziz akizungumza katika kikao baina ya Bodi hiyo na viongozi wakuu wa shirikisho jana Sumbawanaga mkoani Rukwa. Kushoto ni Dk Tulia Ackson na kulia Mzee Stephen Mashishanga, Wajumbe wa Bodi hiyo.
Hapa ni Rais wa TFF, Wallace Karia (kushoto) na Katbu wake, Wilfred Kidau akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo leo Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga.
0 comments:
Post a Comment