Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 3-0 dhidinya Alaves kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine yamefungwa na Isco dakika ya 85 na Nacho dakika ya 88, wakati Cristiano Ronaldo naye alifunga dakika ya 54, lakini bao likakatalkiwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ex-Tory Senedd leader Paul Davies wants to become Llywydd
-
Paul Davies needs backing from Plaid Cymru or Reform to become the first
Conservative in the role.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment