Beki wa kati wa Arsenal, Shkodran Mustafi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 53 ikitoa sare ya 2-2 na Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Theo Walcott dakika ya 40, wakati ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya tano na Sergio Aguero dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England debutants claim maiden wickets against New Zealand
-
England debutants Tilly Corteen-Coleman, Jodi Grewcock and Dani Gibson each
pick up a wicket against New Zealand during the first ODI in Durham.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment