Beki wa kushoto, Layvin Kurzawa akishangilia baada ya kuifungia PSG mabao matatu peke yake dakika za 52, 72 na 78 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Anderlecht usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Marco Verratti dakika ya 30 na Neymar Junior dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Former England captain Beckham knighted by King
                      -
                    
Watch the moment former England captain David Beckham is formally knighted 
by King Charles for his services to football and British society.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment