Harry Kane akisherehekea baada ya kuifungia Tottenham bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Borussia Dortmund usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Bao la pili la Spurs lilifungwa na Son Heung-Min dakika ya 76, wakati la Borussia Dortmund lilifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🚨 Out of the blue, Bundesliga club changes its badge
-
The top match between VfL Wolfsburg and FC Bayern is already creating
plenty of storylines before kickoff. After it became public ahead of the
game that Di...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment