Kiungo Mnigeria, Alex Iwobi akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa John Smith mjini Huddersfield, West Yorkshire. Bao la pili limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 44 kabla ya Sead Kolasinac kujifunga dakika ya 90 na ushei kuipa Huddersfield Town bao la kufutia machozi na kwa ushindi huo Arsenal inafikisha pointi 50, sawa na Chelsea baada ya kucheza mechi 26, ingawa inaendelea kushika nafasi ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
From The Delivery Room to Playoff Hockey: Sean Walker's Wild Ride
-
A frantic sunrise flight and a private jet shuttle saw defenseman Sean
Walker rush from his daughter's birth straight into a series-clinching
overtime thri...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment