Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akiondoka kwenda kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 48 akimalizia pasi ya Mbrazil Roberto Firmino katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yamefungwa na Sadio Mane dakika ya 24 na Georginio Wijnaldum dakika ya 34 na kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 26, ikirejea kileleni sasa ikiizidi pointi tatu Manchester City ambayo kesho itamenyana na Chelsea Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Australia's ruthless media turn on their OWN cricketers and concede Ashes
defence is in 'total disarray' already - before revealing embarrassing real
reason why Usman Khawaja was unable to open
-
The hosts staggered to 123 for nine at stumps on the first day in Perth,
still 49 runs behind England's 172, despite Mitchell Starc's career best
figures o...
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment