Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dakika ya 88 kwa penalti ikiilaza 3-2 Southampton na kutinga Raundi ya Tano ya Kombe la FA England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Jack Stephens aliyejifunga dakika ya 12 na Lucas Moura dakika ya 78, wakati ya Southampton yalifungwa na Shane Long dakika ya 34 na Danny Ings dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunderland vs Arsenal - Premier League LIVE: Latest score, team news and
updates as Mikel Arteta has chance to go NINE POINTS CLEAR at the top of
the league
-
Follow Daily Mail Sport's live blog for the latest score, team news and
updates as Arsenal travel to the Stadium of Light to face Sunderland in the
Premier...
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment