Wachezaji wa Barcelona kutoka kulia Lionel Messi, Luis Suarez na Antoine Griezmann wakipongezana baada ya ushindi wa 4-1dhidi ya Villareal kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana, Uwanja wa Ceramica. Mabao ya Barcelona yalifungwa na Pau Torres aliyejifunga dakika ya tatu, Luis Suarez dakika ya 20, Antoine Griezmann dakika ya 45 na Ansu Fati dakika ya 86, wakati la Villareal lilifungwa na Gerard Moreno dakika ya 14 na kwa ushindi huo Barca inafikisha pointi 73, sasa ikizidiwa pointi nne na vinara, Real Madrid baada ya wote kucheza mechi 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NNPP chieftain congratulates Ladoja on nomination, ratification as 44th
Olubadan
-
By Oluseye Ojo A chieftain of New Nigeria People’s Party (NNPP) in the
South West, Olufemi Oguntoyinbo, has congratulated a former governor of Oyo
State,...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment