Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akiwa ameinua Kombe la FA baada ya kuiongoza Arsenal kubeba hilo kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Uwanja wa Wembley Jijini London usiku wa leo. Chelsea walitangulia kwa bao Christian Pulisic dakika ya tano kabla ya Aubameyang kusawazisha kwa penalti dakika ya 28 na kufunga la ushindi dakika ya 67 kuipa The Gunners taji la 14 la FA akiwa amevaa jezi namba 14 mgongoni. Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Mateo Kovacic kutolewa kwa kadi nyekundu na refa Anthony Taylor kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Namewee to be remanded over Taiwanese influencer Iris Hsieh’s death; Taiwan
seizes US$150m, detains 25 in Prince Group scam probe: SIngapore live news
-
Namewee wanted in Taiwan influencer Iris Hsieh’s death reclassified murder.
Taiwan seizes US$150 million Prince Group assets, 25 held in scam probe
tied to...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment