SAMATTA AKIPASHIA MECHI YA KOMBE LA UBELGIJI KESHO UGENINI
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akifanya mazoezi ya kuimarisha misuli yake kwenye gym jana kujiandaa na mchezo wa kesho wa Kombe la Ubelgiji baina ya timu yake, KRC Genk na wenyeji, Cercle Bruggee Uwanja wa Le Canonnier mjini Mouscron
0 comments:
Post a Comment