KAMA UNAIPENDA YANGA, HAKIKISHA UMENUNUA JARIDA HILI KUCHANGIA KLABU YAKO
Mwigizaji nyota, Vincent 'Ray' Kigosi akiwa na wachezaji wa Yanga, Ibrahim Ajib na Papy Kabamba Tshishimbi (kulia) na kipa Youthe Rostand (kushoto) wakiwa wameshika jarida la mwezi la klabu toleo la kwanza la Oktoba- Novemba jana makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment