Cesar Azpilicueta (kushoto) na Ruben Loftus-Cheek (kulia) wakishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao ya dakika za lala salama ikitoak nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Cardiff City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Cardiff City. VÃctor Camarasa alianza kuifungia Cardiff City dakika ya 46, kabla ya Azpilicueta kuisawazishia Chelsea dakika ya 84 na Loftus-Cheek kufunga la pili dakika ya 90 na ushei. Chelsea inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 31, ingawa wanabaki nafasi ya sita wakizidiwa wastani wa mabao na Arsenal iliyo nafasi ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bruno Fernandes and Iliman Ndiaye come to blows in fiery clash as Everton
hold Man United to 2-2 draw in Atlanta
-
The flashpoint occurred just before Everton's second equaliser. Fernandes
slid in from behind on Ndiaye near the halfway line, prompting an angry
reaction ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment