Marcus Rashford akiteleza kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 28, kabla ya Anthony Martial kufunga la pili dakika ya 72 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford ambayo bao lake limefungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 90 usiku wa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Kwa ushindi huo wa kwanza baada ya kocha Ole Gunnar Solskjaer kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwa kocha wa kudumu, Man United inafikisha pointi 61 baada ya kucheza mechi 31 na kurejea nafasi ya nne ikiizidi pointi moja Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    
Charles brothers and McCann out of NI qualifiers
                      -
                    
Northern Ireland manager Michael O'Neill will be without key midfield duo 
Shea Charles and Ali McCann for this month's 2026 World Cup qualifiers 
against Sl...
49 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment