Memphis Depay (kushoto) na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-0 Uholanzi dhidi ya Belarus kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam. Depay alifunga mawili dakika ya kwanza na 55 kwa penalti na Wijnaldum alifunga la pili dakika ya 21, wakati la nne lilifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal to meet eight-time winners Lyon in Champions League
-
Holders Arsenal will host record eight-time winners Lyon in the league
phase of the revamped Women's Champions League.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment