Eden Hazard akishangilia na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 kwa penalti na 88 katika ushindi wa 3-1 wa Ubelgiji dhidi ya Urusi usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussells, Ubelgiji. Bao lingine la la Ubelgiji lilifungwa na Youri Tielemans dakika ya 24, wakati bao la Urusi lilifungwa na Denis Cheryshev dakika ya 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool 1-1 Chelsea: What Slot said
-
Liverpool have dropped nine points from winning positions in Premier League
home games this season, their most at Anfield in a single campaign since
2015-1...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment