Mshambuliaji na Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akisikitika baada ya timu yake kuchapwa mabao 3-1 na Venezuela Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kwenye mchezo wa kirafiki. Mabao ya Venezuela yalifungwa na Salomon Rondon dakika ya sita, Jhon Murillo dakika ya 44 na Josef Martinez dakika ya 75 kwa penalti wakati la Argentina lilifungwa na Lautaro MartÃnez dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal to meet eight-time winners Lyon in Champions League
-
Holders Arsenal will host record eight-time winners Lyon in the league
phase of the revamped Women's Champions League.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment