Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 18, 45 na ushei na 85 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Bao lingine lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 63 huku la Betis likifungwa na Loren Moron dakika ya 82 na kwa ushindi huo Barcelona inafikisha pointi 66 baada ya kucheza mechi 28 ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi 10 zaidi ya Atletico Madrid walio nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cowbellpedia 2025: Adewole, Azuike emerge winners with N5m each
-
•All expense paid trip to Kenya Cowbellpedia 2025, themed “The Mega Minds”,
crowned Peace Adewole of Welkins International School, Atan Ota, Ogun State
a...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment