Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akimuacha chini mchezaji wa AS Vita katika mchezo wa mwisho wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1 na kuingia Robo Fainali
| Clatous Chama (kushoto) akiondoka na mpira jana Uwanja wa Taifa |
| Nahodha wa Simba SC, mshambuliaji John Bocco akiondona na mpira |
| Kiungo wa Simba SC, Muzamil Yassin akiondoka na mpira jana Uwanja wa Taifa |
| Kipa wa AS Vita, Nelson Lukong akidaka mpira jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam |
| John Bocco (kulia) akifukuzia mpira dhidi ya mchezaji wa AS Vita jana |
| Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana dhidi ya AS Vita |
| Kikosi cha AS Vita kilichoanza jana dhidi ya Simba SC |
| Wachezaji wa Simba SC wakimpongeza Clatous Chama baada ya kufunga bao la pili jana |


.png)
0 comments:
Post a Comment