Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao matatu dakika ya tano, 33 na 59 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Dynamo Kiev kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kiev. Mabao mengine yalifungwa na Marcos Alonso dakika ya 45 na ushei na Callum Hudson-Odoi dakika ya 78 na Chelsea inakwenda robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 8-0 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Former England captain Beckham knighted by King
                      -
                    
Watch the moment former England captain David Beckham is formally knighted 
by King Charles for his services to football and British society.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment