Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiugulia maumivu jana wakati wa mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 dhidi ya Serbia usiku wa jana Uwanja wa Luz mjini Lisbon timu hizo zikitoka sare ya 1-1 kufutia kuumia nyama za paja kabla ya kutolewa dakika ya 31 tu nafasi yake ikichukuliwa na Pizzi. Kwa sare ya pili mfululizo jana, Ureno inashika nafasi ya tatu kwa pointi zake mbili nyuma ya Luxembourg pointi tatu na Ukraine pointi nne. Na hiyo baada ya jana Ukraine kuwachapa wenyeji, Luxembourg 2-1 mjini Luxembourg katika mchezo mwingine wa kundi hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Micky van de Ven runs length of the pitch to score INCREDIBLE goal for
Tottenham as Thomas Frank jokes he 'turned into Lionel Messi'
-
MATT BARLOW: Thomas Frank joked that Micky van de Ven has permission to
carry on snubbing him if it helps Tottenham's flying Dutchman transform
anger into ...
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment