Kikosi cha Ufaransa kabla ya mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 dhidi ya Iceland usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Ufaransa ilishinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Samuel Umtiti dakika ya 12, Olivier Giroud dakika ya 68, Kylian Mbappe dakika ya 78 na Antoinne Griezmann dakika ya 84. Uturuki nayo iliichapa 4-0 Moldova mjini Eskisehir katika mchezo mwingine wa kundi hilo na sasa ina pointi sita sawa na Ufaransa, wakifuatiwa na Albania na Iceland zenye pointi tatu kila moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment