Riyad Mahrez akishangilia baada kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 55 kufuatia kutokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Kelvin De Bruyne katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Manchester City inafikisha pointi 71 baada ya ushindi wa leo katika mechi ya 29 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England, sasa ikiizidi pointi mbili Liverpool ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Preston's Osmajic gets nine-game ban for racial abuse
-
Preston forward Milutin Osmajic is given a nine-game ban after being
charged with racially abusing Burnley midfielder Hannibal Mejbri.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment