Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Ally Samatta 'Kapteni Diego' (kulia) akiwa na Mtanzania mwenzake, chipukizi Kelvin John 'Mbappe' mjini Genk ambaye ameitwa na klabu hiyo nchini Ubelgiji kwa ajili ya kusaini mkataba baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) mjini Dar es Salaam Aprili mwaka huu
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment