Nyota wa Valencia, Rodrigo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 74 ikiwalaza wenyeji, Chelsea 1-0 huku kipa wake Kepa Arrizabalaga akiushuhudia mpira unavyojaa nyavuni Uwanja wa Stamford Bridge mjini London katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment