Cristiano Ronaldo akiwa ameshika kichwa baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kuifungia timu yake bao ambalo lingekuwa la ushindi, Juventus ikitoa sare y 2-2 na wenyeji Atletico Madrid kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Juventus ilitangulia kwa mabao ya Juan Cuadrado dakika ya 48 Blaise Matuidi dakika ya 68 kabla ya Atletico Madrid kusawazisha kupitia kwa Stefan Savic dakika ya 70 na Hector Herrera dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump open to shifting US troops from Germany to Poland
-
Will US troops withdrawn from Germany be moved to Poland? When asked, US
President Donald Trump said Warsaw favours the idea, and it is
feasible.View on eu...
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment