Bondia Muingereza Tyson Fury akivuja damu baada ya kuchapwa ngumi kali na mpinzani wake, Msweden Otto Wallin katika pambano la uzito wa juu Alfajiri ya leo ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani. Hata hivyo, Fury alishinda kwa pointi pambano hilo la raundi 10 na kuendeleza rekodi yake ya kushinda mapambano yake yote 30 ingawa baada ya mchezo huo alikimbizwa hospitali kwa matibabu na kushindwa kuzungumza na Waandishi wa Habari. Fury anatarajiwa kurejea ulingoni Februari 22 kwa pambano la marudiano na Deontay Wilder hapo hapo Vegas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Travis Kelce's ex Kayla Nicole denies throwing shade at Taylor Swift and
NFL star with viral Halloween shoot
-
Fans were convinced that Nicole, who dated Kelce on and off for five years
before he found love with Swift, was throwing shade at the NFL legend and
his fi...
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment