Roberto Pereyra akishangilia baada ya kuifungia Watford bao la kusawaziwsha dakika ya 81 kwa penalti ikitoa sare ya 2-2 na Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo ambao ni wa kwanza baada ya Quique Sanchez Flores kurejea Vicarage Road. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika za 21 na 32 wakati la kwanza la Watford limefungwa na Tom Cleverley dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Starmer turns to Gordon Brown to save faltering premiership
-
Sir Keir Starmer has brought Labour heavyweights Gordon Brown and Harriet
Harman back into government in an attempt to shore up his premiership.
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment