Kinda wa miaka 16, Anssumane Fati 'Ansu Fati' akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao dakika ya pili katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Valencia kwenye mchezo La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou, hilo likiwa ba lake la pili tangu apandishwe. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Frenkie de Jong dakika ya saba, Gerard Piqué dakika ya 51 na Luis Suarez mawili, dakika ya 61 na 82, wakati ya Valencia yamefungwa na Kevin Gameiro dakika ya 27 na Maximiliano Gómez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Yankees fans demand Aaron Boone is fired as season hits new low and stands
of the brink of catastrophe
-
New York Yankees fans are demanding Aaron Boone is fired as season hits a
new low and stands of the brink of catastrophe following the franchise's
sweep at...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment