KOZI YA WAKUFUNZI WA MAKOCHA NCHINI ILIVYOFUNGWA LEO AZAM COMPEX, CHAMAZI
Mkufunzi wa kimataifa, Sunday Burton Kayuni akizungumza na wahitimu wa Kozi ya Ukufunzi wa Makocha iliyofungwa leo katika hosteli za Azam Complex, Chamazi nje ya kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambayo ilishirikisha makocha 12 kutoka mikoa mbalimbali.
Makocha 12 walioshiriki Kozi ya Ukufunzi wa Ukocha katika picha ya pamoja na Mkufunzi Mkuu, Sunday Kayuni
Liverpool 1-1 Chelsea: What Slot said
-
Liverpool have dropped nine points from winning positions in Premier League
home games this season, their most at Anfield in a single campaign since
2015-1...
0 comments:
Post a Comment